BONDIA IBRAHIMU CLASS ‘KING CLASS MAWE’ AJIFUA KUMKABILI TWAHA KIDUKU DESEMBA 25 MOROGORO

Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kushoto akifundishwa ngumi za kwenda kasi zilizo nyooka na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ Class anajiandaa na mpambano wake na  Twaha Kassimu ‘Kiduku’ Desemba 25 utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Moro



 goro Picha na


IBRAHIMU CLASS ‘KING CLASS MAWE’
Bondia ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakati wa mazoezi ya Class kujiandaa na mpambano wake wa desemba 25 kupambana na Twaha Kassimu mpambano utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia ibrahimu Maokola ‘kushoto’ akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ wakati wa mazoezi ya Class kujiandaa na mpambano wake wa desemba 25 kupambana na Twaha Kassimu mpambano utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro katikati  ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ akiwasimamia mazoezi haya ya kupigana Picha na SUPER D BOXING NEWS

0/Post a Comment/Comments

Stay Conneted

{ads}